Picha za matukio kutoka Nangurukuru Stendi kwenye Kampeni ya Mnada kwa Mnada kwa wakaazi wa Nangurukuru wilayani Kilwa mkoani Lindi

Wakaazi wa Nangurukuru wamejitokeza kwa wingi katika eneo la Nangurukuru stendi kujisajili kwa lengo la kutambulika na kupatiwa Namba ya Utambulisho (NIN) pamoja na kufuatilia maendeleo ya hatua ya maombi yao yalikofikia kwa waliokamilisha Usajili awali.

Lengo kuu ni kupata Namba ya Utambulisho (NIN) ili watumie kusajili laini za simu kwa alama za vidole. Kampeni hii inafanyika kwa ushirikia wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Jeshi la Polisi pamoja na Kampuni za Simu nchini.

 

Picha za matukio mbalimbali yaliyojiri kutoka Nangurukuru stendi wakati wa kampeni ya mnada kwa mnada.

 

 

 

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Ukurasa wetu wa Facebook

Ramani ya Ofisi Zetu