Viambatisho vinahitajika kwenye Usajili wa Vitambulisho vya Taifa

 

 

Comments on “Viambatisho vinahitajika kwenye Usajili wa Vitambulisho vya Taifa”

 1. Emmanuel Edward Waitare says:

  Poleni na majukumu.

  Nimejaribu kupiga na kufuata utaratibu katika namba *152*00# ili kupata namba ya kitambulisho changu cha uraia, ila sipati ujumbe.

  Tatizo litakuwa nini?

  1. Nida says:

   Tuma majina yako tukuangalizie pia itakuwa ni shida ya mtandao

 2. RAMADHANI MOHAMEDI JUMA says:

  Habari

  Naomba msaada wa kupata namba ya kitambulisho maana nimejaribu kwa simu ya mkononi bado sijapata majibu.

  Asanteni Sana

  1. Nida says:

   Tuma majina yako

   1. RAMADHANI MOHAMEDI JUMA says:

    RAMADHANI MOHAMEDI JUMA

   2. RAMADHANI MOHAMEDI JUMA says:

    Nimetuma tayari

 3. Chris Chleopa says:

  Na vipi kuhusu mtu ambaye wazazi wake hawakuwahi kupata kitsmbulisho alete nini maana imekuwa mkanganyiko sana mfano mimi nina BC yangu lakini nimeambiwa nilete kitsmbulisho cha wazazi wangu.

  1. Nida says:

   Kitambulisho cha Taifa mbali na kukutambulisha pia kinatambulisha uraia wako. Katika suala la uraia Idara pekee yenye mamlaka kuthibitisha uraia nchini ni Uhamiaji. Hivyo maombi hayo yanatakiwa na Maafisa wa Uhamiaji ili wwaweze kukamilisha jukumu lao.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Ukurasa wetu wa Facebook

Ramani ya Ofisi Zetu