Orodha ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu wanaotakiwa kujisajili ili wawe kwenye mfumo wa Utambuzi wa NIDA na hatimaye kupatiwa Kitambulisho cha Taifa

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kwa kushirikiana na Bodi ya Uhasibu (NBAA), inawatangazia Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu nchini, kujitokeza Kusajiliwa kwa lengo la kutambuliwa kwenye mfumo wa Utambuzi wa NIDA na hatimaye kupatiwa Kitambulisho cha Taifa kwa ambao bado kufanya hivyo.

Bonyeza link kupata orodha ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu wanaotakiwa kusajiliwa.

 

 

ORODHA YA WAHASIBU NA WAKAGUZI WA HESABU WANAOTAKIWA KUSAJILIWA NIDA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *