Kupata Namba ya Kitambulisho cha Taifa (NIN) kwa kutumia simu ya mkononi

Comments on “Kupata Namba ya Kitambulisho cha Taifa (NIN) kwa kutumia simu ya mkononi”

 1. MAHJABIN MURTAZA DARUGAR says:

  I was looking for my National ID Card application were submitted at near Ferry Office but till date I don’t know the status of My National ID card and now office also shifted from Ferry. Kindly assist in getting information on status of My National ID card. MAHJABIN MURTAZA DARUGAR.

  1. Nida says:

   PLEASE GO TO OUR OFFICE WHERE YOU WERE REGISTERED FOR MORE DETAILS

 2. Benson Lutashumulurwa Lwechungura says:

  I’ve received a notification from NIDA directing me to check for my ID number but as I try to deal the number I get no feedback please help me.

  1. Nida says:

   PLEASE SEND YOUR DETAILS

 3. Peniel Dawson Materu says:

  Itapendeza zaidi kama mtawezesha huduma ya kupata namba ya kitambulisho kupitia kwa mtandao yaani kwenye hii wavuti yenu

  1. Nida says:

   AHSANTE KWA WAZO ZURI. TUMELIPOKEA NA TUTALIFANYIA KAZI.

 4. john says:

  Habari,

  naweza kupata namba yangu ya kitambulisho cha TAIFA?

  Nimejaribu mara nyingi sana kwenye simu kama mlivoelekeza lakini sijapata majibu yoyote*152*00#

  msaada please.naitwa john james mremi.

  1. Nida says:

   MAJINA YAKO NI NANI

 5. tuma peter says:

  kama taasisi ya kutoa vitambulisho vya taifa kuna baadhi yetu tumejiandikisha kupata huduma ya kitambulisho kwa muda sasa ila bado hatujaona mafanikio ya kuvipata tunaomba msaada kama kuna uwezekano na pia kwenye huduma ya kuhakiki kupata namba ya kitambulisho kwa kutumia sms inakuwa haifanyi kazi huduma haipo mnatusaidiaje ??

  1. Nida says:

   MMEJIANDIKISHA OFISI IPI? PIA ULISHAWAHI FUATILIA KWENYE OFISI YETU YOYOTE? MWISHO KABISA UNAWEZA KUNIPA TAARIFA AU MAWASILIANO YAKO ILI KUJUA ZAIDI KUHUSU TATIZO LAKO AU PIGA 0800758888/ 0673333444

 6. mosses@africanheart.com says:

  We would appreciate to have the card for ofiicial use ,
  we cant do anything without nida ID, its really good to have them in hand to facilitate important payments and issues

  1. Nida says:

   WHAT SERVICES ARE YOU PLANNING TO DO WITH NID SO WE CAN HELP YOU ACHIEVE WHILE ARE WAITING FOR YOUR ID CARD TO BE PRODUCED

 7. John Alfred Siame says:

  Hivi vitambulisho inakuwaje kwa mfano mm John Alfred Siame sijapata kitambulisho tangu mwakajana mpaka leo na taarifa zangu sizioni

  1. Nida says:

   FIKA KATIKA OFISI YA NIDA WILAYA ULISAJILIWA KUFUATILIA HATUA KIMEFIKIA KITAMBULISHO CHAKO.

 8. Raphael mwaluko says:

  Hongereni kwa hatua nzuri

 9. Ezekiel Peter Mhangwa says:

  Vitambulisho kwa wale tuliojiandikisha Songwe vipo tayari na he kama nimehamia Dar Es Salaam ninaweza kukipata nikiwa hapa. Ezekiel Peter Mhangwa.

  1. Nida says:

   KITAMBULISHO UNATAKIWA KUCHUKULIA WILAYA ULIPOJISAJILI. KIKUBWA KAMA WEWE HUWEZI KWENDA MWENYEWE MWAGIZE MWENZIO KWA KUMTAMBULISHA NA AKIWA NA YEYE ANAKITAMBULISHO CHA TAIFA

 10. Thomas Honorath Ruaichi says:

  Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha dodoma. Naomba kuuliza chuoni kuna zoezi linalotarajiwa kuanza la kuandikisha wanafunzi ambao hawajawai kuandikishwa . Je kwa sisi tuliokwisha jiandikishia mikoa mingine na sasa bado hatujapatiwa vitambulisho tunafanyaje ? Au tutavipataje ?

  1. Nida says:

   ZOEZI HILO LITAWAHUSISHA WALE TUU AMBAO HAWAJASAJILIWA MPAKA SASA NA KWA WALE WOTE AMBAO WAMESAJILIWA SEHEMU NYINGINE TAFADHALI FUATILIA HATUA KILIPOFIKA KITAMBULISHO CHAKO KWENYE WILAYA HUSIKA AU PIGA *152*00#

 11. JOHNSON HOJA FUNDI says:

  natumia hiyo njia hakuna ujumbe wowote unaorejeshwa!!!

  1. Nida says:

   UNATUMIA MTANDAO GANI?

 12. Gabriel says:

  Me naitwa Gabriel Patrick Mwasapi nimejiandksha mwez wa 1 mpka saiv sijapata namba nisaidie namba iliniweze kupata passport.

  1. Nida says:

   HABARI
   TAFADHALI NAOMBA UFUATILIE KATIKA OFISI YETU YA USAJILI ULIPOJIANDIKISHA

 13. JACOB ODIWA OLOO says:

  Habari

  Nimejaribu mara kadhaa kuomba namba ya kitambulisho cha Taifa kutumia simu ya mikononi bila mafanikio yeyote.

  Ningependa kujua namba yangu ya kitambulisho cha Taifa ili nitumie kusajili Kampuni.

  1. Nida says:

   TAYARI TUMESHAKUTUMIA NAMBA ZAKO ZA UTAMBULISHO WA TAIFA

 14. ODEL SUBETE ALANZESA says:

  POLE na Majukumu

  Nimejaribu mara kadhaa kuomba namba ya kitambulisho cha Taifa kutumia simu ya mkononi bila mafanikio yeyote.
  Naandikiwa tu OMBI LAKO LINASHULIKIWA

  1. Nida says:

   Mtandao gani unatumia ila tuweze kufuatilia

 15. Ezekiel Peter Mhangwa says:

  Je sisi tunaokaa songwe votambulisho vuetu vitatoka lini tuliojiandikisha 2018 ili tuanze kuvifuatilia kuvipata

 16. THOMAS HONORATH RUAICHI says:

  NAMBA YA KITAMBULISHO NIMEIPATA ILA NAONA JINA LANGU LIMEKOSEWA;
  NAITWA THOMAS HONORATH RUAICHI . LAKINI LIMEANDIKWA THOIMAS.
  NIFANYEJE WAKATI NAITAJI JINA KAMILI KUFANYA APPLICATION ZA TIN NUMBER

Leave a Reply to Nida Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Ukurasa wetu wa Facebook

Ramani ya Ofisi Zetu