WATANZANIA WENYE SIFA KUPATIWA VITAMBULISHO NDANI YA SIKU ZA MAONYESHO YA SABASABA

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) tunawatangazia wananchi wote wakazi wa Dar-es-salaam ofa maalumu ya Usajili wa Vitambulisho vya Taifa wakati wa Sabasaba; ambapo kwa wale watakaokidhi vigezo watapatiwa vitambulisho vya Taifa ndani ya siku saba za maonyesho ya 41 ya Kimataifa ya Sabasaba.
Huduma za Usajili zitafanyika kwenye banda la NIDA kuanzia tarehe 28 Juni hadi 10 Julai 2017.

Soma zaidi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Namba za vitambulisho zilizotengenezwa

Tarehe idadi
10 August 2016 (....)

Ukurasa wetu wa Facebook

Ramani ya Ofisi Zetu