Mkurugenzi Mkuu

Ahsante kwa kutumia muda wako kutembelea na kuperuzi Tovuti ya Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA). Katika Tovuti hii utapata habari mpya zinazohusu NIDA, kalenda ya matukio, miongozo, kanuni, matangazo ya zabuni, mahali zilipo ofisi zetu kila wilaya na kufahamu huduma tunazotoa.

Habari Mpya

NIDA Yahitimisha Wiki ya Utumishi Umma kwa Usafi

Na Mwandishi Wetu Wafanyakazi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) wamehitimisha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa…

  June 22, 2019 at 12:30 pm

NIDA Yaadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma kwa Kusa...

Katika Kuadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imeendesha Zoezi Maalum la Usajili na Ugawaji…

  June 20, 2019 at 6:17 pm

Tangazo usajili Dar es Salaam

TANGAZO USAJILI DAR ES SALAAM

  May 8, 2019 at 6:07 pm